Kitabu hiki ni tafsiri ya kitabu kiitwacho "Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, ambacho kilichapishwa mwaka 2005. Kitabu hiki kimesheheni maudhui juu ya mambo yanayosababisha kutoelewana na migogoro baina ya waAfrika na waMarekani. Tofauti hizi zinahusu tabia, maadili, mwenendo wa maisha na mengineyo ambayo kwa ujumla wake tunayaita utamaduni. Kitabu hiki ni dira ya kuwawezesha waAfrika na waMarekani kuelewana.